Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-06-11-00-46.png
 
Ni burudani tosha kwa kweli. Nitakualika kitu cha mzee wa kuliamsha dude kikitua nchini. Naye kakulia hapa hapa Koromije na alikuwa anakuja mara kwa mara na helikopita yake. Tunachangishana hapa tujenge uwanja ili Gulfstream iweze kutua. Hiyo sasa itakuwa sherehe kubwa sana na nitakualika shemeji.
b9ea52163924d05b48aed4fe44116979.jpg
Ahsante mkuu,nami nimeungana nanyi kwa maana ya kushiriki kila tukio la kikoromije(kitaifa) litakapo fanyika huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom