Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sema kamanda. J'pili inakuendeaje?SHIMBA YA BUYENZE :
Sema kamanda. J'pili inakuendeaje?SHIMBA YA BUYENZE :
Hahahaha nivumilie kidogo huu mwezi nitaleta maana kamshahara kameenda kupimwa mkojo.Kichwa anaingia kwa kujificha ficha humu kisa hajanilipa kodi ya pango!
J pili iko njema mkuu sijui kwako ?Sema kamanda. J'pili inakuendeaje?
Na madaktari nao hakuna kusema sasa yatosha. As long as you are paying them wataendelea kukukata tu mpaka uwe kama kinyago!Ukishaanza ni laana no stopping till it kills u
princessAnne:
Nipo nsamaka wang japo nachungulia chungulia kidogoHv kichwa ashakuja humu leo? Au kapotea tena?
Dada wa uzi shikamooUwongo si kazi.
cocochanel:
carbamazepine[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu ww ni mchokozi kweli?
poa 2 mkuu uko bieñ ?Mamboz
Weye naweKichwa Kichafu unakumbuka siku uliyomvesha pete ya kisoda nsamaka??andjul ndo alikua amekaa chini hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Whaaaaaaat???Tigo wasshh!!!!