mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kama kawaidaLikes'' zinaendelea
Kama kawaidaLikes'' zinaendelea
HahahahajahNumbisa nisamehe bure kwa hii kazi yako [emoji16] [emoji16]![]()
Hawachelewi kuuwana kuleMajitu ya fujo fujo tu wale!
Mawazo mbadala sawa ila hao jamaa wana wazo gani mbadala hapo? Matusi mara nyingi yanamfanya ayatoaye apoteze credibility hata kama anapoint yenye point namna gani....Kutoa wazo lako mbadala sio kosa
Kumkosoa kiongozi sio kosa
Kuonyesha hisia zako kwa jambo usilolipenda sio kosa
Debate zipo kila kona kila nyanja
Cha muhimu chagua sehemu sahihi kwa wakati sahihi
Teh teh teh teh[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unanichokoza eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We guna na kushangaa piaMmhhh[emoji23][emoji23][emoji23]
DuGolden Gate Bridge San Francisco. Been there...Human ingenuity...Miaka ya karibuni hapo katikati jamaa walipafanya best place kwa ku-commit suicide. Watu wanafunga safari kutoka Japan huko kuja hapo kujirusha wafe. Mpaka ikabidi waweke neti za kuzuia. Mama mmoja Mkristo naye akajitolea kukaa hapo wakija anawahubiria kuhusu upendo wa Mungu wengi wanaishia kumkumbatia wanalia halafu wanaghairi. Hata akiondoka anaacha copy ya Biblia hapo na pamphlets zinazosema "God loves you. Don't take your life" ndo kidogo mambo yakapoa. Baadaye polisi nao wakaweka doria pale ndo soo ikapungua japo hata sasa mara moja moja watu wanajirusha bado...
Nakungoja[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tutaongea baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 559456ntakupasua[emoji35][emoji35]
Afadhali wafanye hivyo kwa kweli wasije wakatuletea matatizo bure. I hope walishajifunzaKenya wameanza kuhamasishana kuna maisha baada ya uchaguzi wasiuane
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sorry abee
There is no fair elections in AfricaPhilippe ndiye alikuwa mpinzani wake mkuu!!!..0.7..% Haya, kila mtu aisake pesa kwa njia iliyo sahihi,siasa wabaki nazo watawala....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nitafanya hivyo shemeji langu la nguvu!Akikujibu nitag shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]