Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutoa wazo lako mbadala sio kosa
Kumkosoa kiongozi sio kosa
Kuonyesha hisia zako kwa jambo usilolipenda sio kosa
Debate zipo kila kona kila nyanja
Cha muhimu chagua sehemu sahihi kwa wakati sahihi
Mawazo mbadala sawa ila hao jamaa wana wazo gani mbadala hapo? Matusi mara nyingi yanamfanya ayatoaye apoteze credibility hata kama anapoint yenye point namna gani....
 
Du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…