Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-06-18-05-59.png
 
Mkuu SYB,ujio wa KK ni wa maumivu kweli,huyu jamaa amekuja na mbinu mpya yenye nguvu kweli ya kuharibu himaya zetu.Kiukweli sina raha kwa kweli...Nahisi hata wewe umepewa hiyo mbinu ndio maana umeamua kwenda Masaki bila ruhusa ya mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Kule anajua huwezi fika bila ruhusa yangu my love atakuhakikishia hilo
 
Back
Top Bottom