Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Anomalies
Carba ma ze pineNaomba uniandikie jinsi inavyo tamkwaa
Mkuu SYB,ujio wa KK ni wa maumivu kweli,huyu jamaa amekuja na mbinu mpya yenye nguvu kweli ya kuharibu himaya zetu.Kiukweli sina raha kwa kweli...Nahisi hata wewe umepewa hiyo mbinu ndio maana umeamua kwenda Masaki bila ruhusa ya mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole hata mimi nina wasiwasi naye. Andjul na KK kusema kweli wanampa hali ngumu sana. Nitamcheki kuona kama yuko sawa.
Cole's world isije ikaingia kwenye crisis...
Nitakutafuta faragha tuzungumze vizuri carbamazepineJamani jamani nisisalimie majirani?[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnataka nisiongee na watu jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo zuri hilo[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo jina lina herufi mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone kwanzaNakuamini.
Utaweza tu ila sio leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]usinilishe maneno
[emoji23][emoji23][emoji23]watuache kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari nimewaambia.
Maana nyuma ya pazia hawajui nini kinaemdelea ktk chemistry ile.
Hilo jina lako mtu akilitaja mara 5 mfululizo anapata kiu ya maji.Ndo zuri hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mlete bhana watu hawana imani na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja nakupa 5seconds namleta hapa.
Mkuu nimeona hapo juu unaulizwa kuhusu nsamaka....Habari ya jumapili mkuuAndjul
Wapiii
[emoji23][emoji23][emoji23]tena uandike kupitia kwa....Labda wqnataka nikusalimie kwa barua za kihenga za ki s. l. p[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo wamesahau tumetoka wapi.[emoji23][emoji23][emoji23]subiri wakusikie mzee wa ini anamtafuta ampe ubuyu et leo niko karibu na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]