mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nsamaka tenansamaka mzima?
Nsamaka tenansamaka mzima?
Yea tuko pamoja sanaYupo hapa anatupa madini adimu ya soka la Ulaya. Huko thread ya Manchester United kulikotelekezwa itabidi mhamie hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole hata mimi nina wasiwasi naye. Andjul na KK kusema kweli wanampa hali ngumu sana. Nitamcheki kuona kama yuko sawa.Carba wapi Cole Leo simuoni kabisa halafu uko karibu sana na kichwa kichafu Leo
Wacha nitamfute nimpe ubuyu
Hapo ndipo pabaya
Umenikumbusha mbaliTeh teh teh angalia chini huku uking'ata kucha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna namna aisee..Yupo hapa anatupa madini adimu ya soka la Ulaya. Huko thread ya Manchester United kulikotelekezwa itabidi wahamie hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yapo ya aina nyingiMazoezi ni mazoezi sitaki ukimbie mazoezi.
Nipo mkuu. Tupo hapa Koromije tunajenga uwanja ili dude la mwanetu Gwaji liweze kutua. Bado upo Shy kwa Nsamaka? Wabeja nyanda nchoji omashikolo!!!Wapi
SHIMBA YA BUYEBZE
Nshukuma kutoka ntwara
Nilipotea mzazi ndio nimetokea humu. Kama hizo day.Sema boooooooy
Wiki sasa sijaingia humu
Hii nimeipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanne....*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*
*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*
Mzee wa iniCarba wapi Cole Leo simuoni kabisa halafu uko karibu sana na kichwa kichafu Leo
Wacha nitamfute nimpe ubuyu
Mkuu ukitaja shinyanga namiss michembee na matobolwa..Nipo mkuu. Tupo hapa Koromije tunajenga uwanja ili dude la mwanetu Gwaji liweze kutua. Bado upo Shy kwa Nsamaka? Wabeja nyanda nchoji omashikolo!!!
Muacheeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa wewee
BalaaHahha red tena