Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahahaha hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakwenda ugenini unapewq chapati 4
Kisa mgeni unakula 3.
Siku inayofata wanakuletea 3
Kisa mgeni unakula 2
Siku inayofata wankuletea 2
Kisa mgeni unakula 1
Day nyingine tena wanakuletea 1.
Kisq mgeni unakula nusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleq
Kama ni hivi sijali cha kuomba ruhusa kwa Mzee wa Liver wala mzee gani sijui nakuja tu huko Masaki angalau nioshe macho. Makelele ya Mbagala haya yamezidi aisee. Kesho nachochea Corolla yangu mida ya saa 10 jioni. Tutaonana sis. Usiniangushe!
Hahha red tenaSalama kabisa mkuu.
Naona unagawa likes hadi kitufe cha like kimekuwa red
Oyo oyo home boy....Wap
Rutasubanyumaa
Yupo hapa anatupa madini adimu ya soka la Ulaya. Huko thread ya Manchester United kulikotelekezwa itabidi wahamie hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wap
Rutasubanyumaa
Carba wapi Cole Leo simuoni kabisa halafu uko karibu sana na kichwa kichafu LeoNdo useme ukweli wote[emoji23][emoji23]
Nipo chaliiWap kichwa kichafuu
17:034:33
AMUN RA
Sema boooooooyOyo oyo home boy....
Nipo hapa naamWap
Rutasubanyumaa