Allan mapesa
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 124
- 89
Nmpnda 5
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Aisee ngoja namimi nichukue usajili wa kudumu hapaaNilipotea mzazi ndio nimetokea humu. Kama hizo day.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] wembamba wa reli ndio uzito wa gari moshi...Hahaha mie kembamba
Asante sana kwa kunisaidia ili aelewe huyuYapo ya aina nyingi
HahahahqhahaUmenikumbusha mbali
Hahahahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yupo hapa anatupa madini adimu ya soka la Ulaya. Huko thread ya Manchester United kulikotelekezwa itabidi wahamie hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema kabisaaa
Carba leo kamsahau mpaka mzee wa rungwe, mambo yote kwa kichwa KCarba wapi Cole Leo simuoni kabisa halafu uko karibu sana na kichwa kichafu Leo
Wacha nitamfute nimpe ubuyu