mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
The one and onlyWap
Isis
The one and onlyWap
Isis
Mkuu nipo potea sana weweWap
Mzee wa liver
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida kubwa kwa mwanamume ni kumuoa mwamke mzuri aliyepitiliza. Carba anapata wakati mgumu maana kila mmoja anatamani angalau amguse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha karibu SHIMBAKama ni hivi sijali cha kuomba ruhusa kwa Mzee wa Liver wala mzee gani sijui nakuja tu huko Masaki angalau nioshe macho. Makelele ya Mbagala haya yamezidi aisee. Kesho nachochea Corolla yangu mida ya saa 10 jioni. Tutaonana sis. Usiniangushe!
Tumechezea sana huto tuuongozii asii..Hahahaha
Umenikumbusha monitor wa kiclass class
Chukua usajili, hii ni timu ya ushindi, kijiji cha upendo, ni burudani isiyo na kikomoAisee ngoja namimi nichukue usajili wa kudumu hapaa
Hilo ni tatizo lako sio letu usitushirikishe hapa likes mkuuSimpndi magufuli kwa kweli
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
HahahahahaYupo hapa anatupa madini adimu ya soka la Ulaya. Huko thread ya Manchester United kulikotelekezwa itabidi wahamie hapa kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaCole hata mimi nina wasiwasi naye. Andjul na KK kusema kweli wanampa hali ngumu sana. Nitamcheki kuona kama yuko sawa.
Cole's world isije ikaingia kwenye crisis...
Huhuuhuu kichwa cha juu,saiv tena msemo mwingine daaah andjul upo vizuri[emoji124] [emoji124] [emoji124] wembamba wa reli ndio uzito wa gari moshi...
HahahaHii nimeipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanne....
Mzeee apa ni kukommnt chcht unapta likes isitoshe hilo tatizo sio lang binafi kwan nilawote ata wew pia humpnd sema wew mfytaa mkiaa mkuuHilo ni tatizo lako sio letu usitushirikishe hapa likes mkuu
Hahahahaha poa mkuu chemistryMzee wa ini
carbamazepine na mimi tuna chemistry fulani tunazungumza hamna chochote[emoji23] [emoji23]
Hahahahaha poa mkuu chemistryMzee wa ini
carbamazepine na mimi tuna chemistry fulani tunazungumza hamna chochote[emoji23] [emoji23]