Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-06-17-16-27.png
 
Cole hata mimi nina wasiwasi naye. Andjul na KK kusema kweli wanampa hali ngumu sana. Nitamcheki kuona kama yuko sawa.

Cole's world isije ikaingia kwenye crisis...
Shida kubwa kwa mwanamume ni kumuoa mwamke mzuri aliyepitiliza. Carba anapata wakati mgumu maana kila mmoja anatamani angalau amguse.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom