carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unao wangapi??Hii nimeipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanne....
Unao wangapi??Hii nimeipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanne....
Mbonabni tabia nzuri tu ya kuondoka bila kuaga we muache tu hiyo tabia nzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole's world haiwezi ingia kwenye crisis...KK na andjul ni nyuki wa mashine kwangu hawana effect[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mwambie mdogo ako aache kuondoka bila kuaga napata presha huku
Waambie kuwa wewe ni nyuki bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa ini
carbamazepine na mimi tuna chemistry fulani tunazungumza hamna chochote[emoji23] [emoji23]
Naomba uniandikie jinsi inavyo tamkwaaNi carbamazepine mkuu
Nasubiri ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23]nakukumbusha tuMuacheeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo jina lina herufi mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni carbamazepine mkuu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] wembamba wa reli ndio uzito wa gari moshi...
Nakuamini.[emoji23][emoji23][emoji23]subiri nijaribu kama ntaweza
Andjul na KK wamekuwa nyuki wa mashine, looo, una nyodo weyeCole's world haiwezi ingia kwenye crisis...KK na andjul ni nyuki wa mashine kwangu hawana effect[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mwambie mdogo ako aache kuondoka bila kuaga napata presha huku
Jamani jamani nisisalimie majirani?[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnataka nisiongee na watu jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba leo kamsahau mpaka mzee wa rungwe, mambo yote kwa kichwa K
Ntwara kuna simba ya karatasi[emoji23][emoji23]
Tayari nimewaambia.Waambie kuwa wewe ni nyuki bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SYB ameamua kujitupa mazima Masaki bila hofu ya kupambana na MWLKama ni hivi sijali cha kuomba ruhusa kwa Mzee wa Liver wala mzee gani sijui nakuja tu huko Masaki angalau nioshe macho. Makelele ya Mbagala haya yamezidi aisee. Kesho nachochea Corolla yangu mida ya saa 10 jioni. Tutaonana sis. Usiniangushe!