Majirani hawataki tisalimiane et[emoji23][emoji23][emoji23]dooh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anakuja nakupa 5seconds namleta hapa.Cole popote ulipo njoo huku jamani
Labda wqnataka nikusalimie kwa barua za kihenga za ki s. l. p[emoji23] [emoji23] [emoji23]Majirani hawataki tisalimiane et[emoji23][emoji23][emoji23]dooh
Kweli kabisa from body languageMzee Kenyatta alikuwa anampenda sana dogo huyu
Hata mzee Moi naye
Babe bora umekuja...ulikuwa wapi?No Risk
No reward
Karibu sana mkuu.Ngoja nione kama kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]sitaki bhana ntaendelea na yale mazoezi yangu ya ku burn 26calories in 1min...majirani wagombanishi humu[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo nakusubiri uachague tuanze lini mrembo
Mwambie namwita[emoji22][emoji22]Lakini yupo naona alike kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri wakusikie mzee wa ini anamtafuta ampe ubuyu et leo niko karibu na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mbonabni tabia nzuri tu ya kuondoka bila kuaga we muache tu hiyo tabia nzuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]