Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kula chakula kingi

Madhara ya kula chakula kingi ni mengi, mojawapo ni kukosa usingizi kutokana na kushiba kupita kiasi.Athari za kufanya hivi ni pamoja na kuukosesha mwili uwezo wa kusaga chakula kwa kuwa utakuwa umeshiba sana na mwili umepumzika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona kama inanihusu hii
 
Back
Top Bottom