carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Makaburi mengine ni bora yaachwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafukua makaburi
Makaburi mengine ni bora yaachwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafukua makaburi
Hakuna matata ndio dhumuni la uziToa like kwa kila muntu usimuruke mutu,... Fire fire fire fire baby
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona kama inanihusu hii
Ndio unahitaji matikiti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!!! Weee mzee wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We guna na kushangaa pia
Yeye hatoi likes. Angalia kwako kakupa ngapiHakuna matata ndio dhumuni la uzi
Pokea likes
AMUN RAAMUN RA
siku hizi like ni moja moja tu???
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Nawaona tu vipi wewe unawaonaKumbe na ww ushamuona eeeh?
Na ndo kitakacho waangamiza kwakweli...wajifunze kutoka uchaguzi uliopita na wakumbuke kuna maisha baada ya uchaguziNaiona hatari ya Kenya tuombe sana kwa majirani zetu source kubwa ni
UKABILA
Pamoja sana mkuuView attachment 559514
Utamwelewa zaidi!
Alafu nakuomba tuishie hapa hapa maana uzi huu si kwa ajili ya kueleweshana!
Wewe kajisomee taratibu!
Have a blessed SUNDAY my friend!
Makaburi mengine ni bora yaachwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaahh Numbisa aaaaaacha urongo!Yeye hatoi likes. Angalia kwako kakupa ngapi
Indeed my love!Good afternoon my Queen
The one and only ISIS
Eeh kingine ulichonacho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na shamba la matikiti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I really appreciate!Pamoja sana mkuu
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Acha kula kama unashindana na watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona kama inanihusu hii
Busara nyingi unatumia miti shamba gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku zote mwizi akimuona mtu kasimama karibu na nyumba yake hudhani kua ni mwizi mwenzake.
HahahahaBREAKING NEWS...
Nahitaji likes 120 za haraka sana ili nilipe deni la mtu,
Hizi nilizikopa jana na leo ndio deadline!
Msaada unahitajika wa dharura,au mnataka nifungwe??