mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Matamko ya kukurupuka mabaya sana sasa wanaofanya hiyo biashara na wana mikopo kwenye mabenki big stockNumbisa nisamehe bure kwa hii kazi yako [emoji16] [emoji16]![]()
Yaani nawaona jinsi wanavyokufa kama issue ya viroba ilivyoua wafanyabiashara wengi
I'm sorry to say this
Lakini pamoja na mazuri ya awamu hii
Haya ni maamuzi mabaya kabisa kutolewa Boda boda sasa ndio tatizo kubwa la uharifu zina tinted