Pqmoja mkuu
Ubabe mwingine una gharama SanaShida sio mataliban,kwani nani kamfuata mwenzake kwenye nchi yake?
Pokea zako pia
15:553:33
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
Hao hata raha ya kuvunja mfupa hamnaKuku ule wa kienyeji sio haya yanayokuzwa kwa ARV's
[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa wewee*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*
*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*
HahahhahaJini la kihindi hilo 😀😀😀😀
Hiyo nyama yenyewe tu ni mtihani sembuse kuvunja mifupaHao hata raha ya kuvunja mfupa hamna
Waingereza walipigana miaka kumi hapa lakini wakafeli wakaondokaNajua mkuu. Nilimaanisha kuwa majamaa (na Waafghanistan kwa ujumla) yana historia ya kujivunia sana sana. Hayashindiki! Hata uwe na silaha za aina gani utachemsha tu.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kifo. Hata Wamarekani watasarenda tu na kuondoka eventually!!!
Nusu ya shamba lako hata ukiongeza sidhani kama moyo utaweza kushow resistance[emoji525][emoji525][emoji525]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha mie kembamba
Ufafanuzi wa nini unataka essay?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kukunyima nini hebu fafanua
15:5815:18
[emoji6] [emoji6] [emoji6]Akuuu
Big up mkuuNow nimetulia ngoja nisambaze likes aiseeh
Pokea likes weka post zaidisiku hizi like ni moja moja tu???
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Hii ndio chemical formula yetuToa likes pata likes..tunaendelea