Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tatu mbili
Arsenal watakaa tu,Arsenal 0-0 Chelsea (Dakika ya 19)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaenda UKWENI..
Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote.
Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..
Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja..
Utafanyaje??
16:274:13
AMUN RA
Maana wahenga walikufufuka week 3 zilizopitq kila corner walikuwepoHahahahaha
Usipo ziba ufa mwizi ataingia ndani
Asante mkuu...Karibu mkuu.
Weka post zaidi tuweke likes
Salama kabisa mkuu.
[emoji818] [emoji818] [emoji818]236k
Asante Boss kwema lakini?
Basi tutaenda sawa! Maana hapo juu nimepata 6.Ndio mkuu