moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Lakini jambo baya zaidi kwenu hampendaniNi kweli hatupendi kushaurika ila hii inatokana na kutokujiamini,kila kitu tunaona tuko sawa,haturekebishwi...sasa ukute yuko kwenye kipindi kile cha hormonal imbalance acha kabisa...utaomba poo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app