Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Noah za makinikia[emoji23][emoji23]Tusubiri Noah zetu twende[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angesema anakimbiza mwengeMama "Mwanangu anaendesha leo wiki ya pili"
Jirani "hua udereva kajifundisha lini?"
Mama "anaendesha yaani anaumwa na tumbo la kuhara sio kuendesha gari"
Ndo useme ukweli wote[emoji23][emoji23]Essay huwa inahitaji na uongo mi sijui kukudanganya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dembele BvB 09
Pamoja mkuu uwanja ni wqko kupostDah! Jamn lyke nzur sana nipeni tena....
post using my macbook air using jamiiforums app
CleverKINGPolisi "Mama kijana wako tumemkamata na wavuta bangi kwahiyo anaisaidia polisi"
Mama "Kama anaisaidia polisi ni vizuri,je mmempa na magwanda?"
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Asante mkuu...
Nahii pia nataka lyke zifike "6".[emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app