Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Weka likesPokea likes
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri aje hapa huo moto wake sijui utazima na niniItakuwa ameibiwa kuku wote alivyokuwa anawasafirisha[emoji23] [emoji23]
Wivu ni kidonda mnaugua pole.Yani hata sijui kwanini hatupendani,sijui wivu daah
Taja aina ya mazoezi kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuwa nakuamsha kukafanye
Mkuu nina dhima la kugawa likesSalama kabisa mkuu.
Naona unagawa likes hadi kitufe cha like kimekuwa red
Mwl alisema hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi kwa kweli hili naliona kwa wenzetuNa ndo kitakacho waangamiza kwakweli...wajifunze kutoka uchaguzi uliopita na wakumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we siunajua kwako siwezi ku..........Unapishana na gari la hela[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mazoezi ni mazoezi sitaki ukimbie mazoezi.Taja aina ya mazoezi kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mkuuHi
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
NjaaDuh tena, ila iweje ufike ukweni uanze kula kabla ya wenyeji, at a kukaribishwa karibu basi,
Ilikuwa Jana ndio Siku ya mnada sikwenda nilikuwa manyoni Leo nipo nipo tu nasubiri mechi ya ufunguzi pazia la EPLIndeed my love!
Uko mnadani?
Endelea eenhee siku watakayo kuletea robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakwenda ugenini unapewq chapati 4
Kisa mgeni unakula 3.
Siku inayofata wanakuletea 3
Kisa mgeni unakula 2
Siku inayofata wankuletea 2
Kisa mgeni unakula 1
Day nyingine tena wanakuletea 1.
Kisq mgeni unakula nusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleq