Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nipo mkuu
Basi acha niangalie sehemu nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua ukirudi tu ukaniangalia usoni na lose confidence[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaJini la kihindi hilo 😀😀😀😀
Hapo hapo tukajinjali vizuriNoah za makinikia[emoji23][emoji23]
Nakuonea na nini tena?hebu fungukaUnanionea bhana
nsamaka mzima?
KabisaHapa nu mwendo wa nyama nyeupe tu. Kuku kwa sana
Nikiandika ukweli utatokea mstari m1[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo useme ukweli wote[emoji23][emoji23]
Kweli kabisa hii imekaa sawaSiyo Afrika. Ni popote pale. Hata Wamarekani ukiangalia kwa undani sana utaona demokrasia yao kimsingi ni project inayotawaliwa na kuamuliwa na watu wachache tu wenye pesa...
Asante my QueenView attachment 559514
Utamwelewa zaidi!
Alafu nakuomba tuishie hapa hapa maana uzi huu si kwa ajili ya kueleweshana!
Wewe kajisomee taratibu!
Have a blessed SUNDAY my friend!
Teh teh teh angalia chini huku uking'ata kucha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi acha niangalie sehemu nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hata sijui kwanini hatupendani,sijui wivu daah
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Nakuonea na nini tena?hebu funguka
In TL voice