Muda ukifika nitakujibu kula likes kwanzaMkuu hizi AMUN RA naziona sana ila sielew ni nini aisee?
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Pamoja mkuu
Unaenda UKWENI..
Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote.
Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..
Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja..
Utafanyaje??
Unajua ukirudi tu ukaniangalia usoni na lose confidence[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimerudi nambie
Karibu kiongoziNamshukuru Mungu kwa baraka zake kwa kila mtu kwa kila day
NimeonaMengine hayafukuriki
DuhKosa sio langu hawakusema,..
[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]kama mayai ya jana
Unanionea bhanaWe hufai bhana[emoji23][emoji23]