Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaenda UKWENI..
Asubuhi unakaribishwa chai unaangalia wa kwanza, mezani unakuta kuna sahani ina chapatti 3.. Wewe unazila zote.

Wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe nae anakuja kukaa mezani alafu anafoka Mbona hawajaleta chapati..
Mama mkwe anajibu kwa nguvu zimeshaletwa hapo mezani kila mtu chapati moja moja..

Utafanyaje??
 
Screenshot_2017-08-06-15-22-31.png
 
Back
Top Bottom