Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
We itabidi kila siku asubuhi tufanye mazoezi ili hizo keki uendelee kuzishambuliaHuyo adui me ndo nampenda hadi sijielewi[emoji512][emoji512]keki tamu bhana[emoji23][emoji23]
We itabidi kila siku asubuhi tufanye mazoezi ili hizo keki uendelee kuzishambuliaHuyo adui me ndo nampenda hadi sijielewi[emoji512][emoji512]keki tamu bhana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mfuga kuku hajaonekana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wasiwasi na wale kuku wa mfuga kuku wetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 559521 Cherlyn Sarkisian
We acha tu ndugu yangu!
Tusubiri Noah zetu twende[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipeleke
Mazoezi ya aina gani?mana mazoezi yako mengi et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We itabidi kila siku asubuhi tufanye mazoezi ili hizo keki uendelee kuzishambulia
Ni ngumu sana kwa wenzetu wana ukabila wa hali ya juuAfadhali wafanye hivyo kwa kweli wasije wakatuletea matatizo bure. I hope walishajifunza
Mimi sijamuona ila ondoa hofu nipo usalama wako upo mikononi mwang[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani nani kamuona Cole Williams ??
Safi sana nimeipenda balaaTafakari chukua hatua.View attachment 559503
16;1115:58
[emoji23][emoji23][emoji23]weee nakuogopa[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijamuona ila ondoa hofu nipo usalama wako upo mikononi mwang[emoji23] [emoji23] [emoji23]