moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nacheki game mkuu nimeonaKashinda kwa matuta
Unajua my watu hawaelewi, sisi wengine tunatafuta mwanamke ambae ni beauty with Brain yaan carbamazepine awezi mpenda mwingine yeyote isipokuwa mimi
Mzee wa ini hata wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshamtonya subiri moto uwake
"Salamu hahitii mimba"Hahahahaha salamu haigombi
Jamaa wameshinda mwanzo mzuriPia nilikua naangalia mikwaju ya penalty
Mtafute mzee wa dataMbona nilipotea nimerudi sijajua idadi
[emoji106][emoji106]Unajua my watu hawaelewi, sisi wengine tunatafuta mwanamke ambae ni beauty with Brain yaan carbamazepine awezi mpenda mwingine yeyote isipokuwa mimi
Yaani yuko radhi amkatae cr7 sembuse mbugila mbugila wa humu
She own Me I own her forever and always