Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na mpenzi mzuri lazima umtunze na kumpenda kwa kiwango cha juu kabisa.Mabazazi ni wengi mtaani ananyapia wapenzi wa watu.... Usiruhusu shamba lako livamiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno tu hayo, hata ukimtunza watu watanyatia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio huwa kuna akili fulani inakuja ya kuwaza kila kitu kwako unaona ni negative.
Huwa tunaanza kuilazimisha akili kuwqza vitu vizuri ndio jambo gumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…