Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu SYB,ujio wa KK ni wa maumivu kweli,huyu jamaa amekuja na mbinu mpya yenye nguvu kweli ya kuharibu himaya zetu.Kiukweli sina raha kwa kweli...Nahisi hata wewe umepewa hiyo mbinu ndio maana umeamua kwenda Masaki bila ruhusa ya mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ishu ya Masaki ni tofauti kidogo. Mimi ninayemtembelea ni dadangu tena tuliyefahamiana muda mrefu kabla Mzee wa Masaki anaishi Upanga. Ndiyo maana nimeamua kwenda tu liwalo na liwe kwa kweli. Kha!!!
 
Back
Top Bottom