moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Katika CONSPIRACY kali za mwaka huu hii inatisha, hatari sana ni zaidi hata wasio Amini kifo cha Osama
Uuwiii hapo wansingizia kwakweli
Mmh aisee nitajaribuKunywa juice yake
With lemon safi sana
Nitaitafuta kwakweli,asante babeImetoka
Kweli kanipofua hata sijui akiniacha nitakuwaje