Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama alikuwa na mabaya yake ni vizuri kuweka wazi
Hata kama ni HIV
Unasema tu marehemu amekufa kwa ukimwi
Sasa nimehudhuria misiba na mazishi hata 3000 imefika lakini sijasikia kwenye wasifu wa marehemu wanasema hili
Utasikia tu kifua ,shinikizo la damu
Ina maana hakuna mgonjwa wa AIDS nchi hii aliyekufa
Kwenye ishu ya HIV bado unyanyapaa upo ndo mana huwa hawasemi,unaweza kuta mtu anamuhudumia mgonjwa bila kufaham,sasa tutanzage msibani marehem alikuwa na ukimwi daah!anyway ishu ya kusema marehem alikuwa mtu wa aina gani ni ishu ya familia ndo wanaamua
 
Screenshot_2017-08-06-18-42-36.png
 
Back
Top Bottom