moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
"Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo"Kasoro, zipi hizo tena mkuu mimi namuona amekamilika kila idara
Kanga moko tenaUuwiii hapo wansingizia kwakweli
Sawa mamaNa utulie hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mamaNa utulie hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu haya mambo yapo sana unaskiaga tu kwenye redio na TV lakini believe Me haya mambo yapo na mimi yamenikuta kwa carbamazepine, I give my All to her
Umeona anavyonisingizia[emoji23][emoji23]Kanga moko tena
Mke wa mtu kaa mbali na wavulanaDaah!andjul na KK huwa wananifurahisha sana halafu KK tumetoka mbali...ila daah
Hakuna urafiki baina ya mwanamke na mwanaume wa kiafrikaDaah!andjul na KK huwa wananifurahisha sana halafu KK tumetoka mbali...ila daah
Nitajitahidi kwakweli
Chitaki [emoji23][emoji23][emoji23]Basi usilie eeh,sawa totoo takupa zawad eeh
[emoji47][emoji47][emoji47]sasa subiri natoa tangazo sasa hivi
ChitakiWekeni post ni like basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu mzee sijui ananitakia ubaya gani kwa cole...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]daaah!hebu muite andjul aje kudhibitisha hapa kwanza
ChitakiAu mmechoka kupokea likes
ChitakiNgoja nikatembee kwanza