Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kusema ukweli hasa issue kama HIV ni muhimu sana
Uganda wamefanikiwa sana kampeni yao dhini ya AIDS hata kama ni waziri amekufa kwa issue wanasema hadharani
Na watu wengi maarufu wenye HIV hawaoni aibu kuja public na kuweka wazi
Tz bado kabisa yani,kupima kwenyewe tunaogopa...na ukipima ukijulikana umeathirika familia huiambii sembuse kujitangaza public kiwa unao...ila wengi wanaogopa unyanyapaa mana bado upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…