Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Tatizo ni kwamba bado tuna yale mawazo kuwa kila mwenye ukimwi kaupata kutokana na ngono zembeUnyanyapaa tuukomeshe, ukimwi si tatizo kama ilivyo Kansa na kisukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji2][emoji2][emoji2]kuanzia sasa natembea sambamba na Cole nisipomkuta humu siingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huko siko naangalia tuUnanishtaki kwa mkaazi wa Dodoma?, mi jirani yako naona michezo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uliona kashfa niliopata hapa toka kwa moud?acha tu iwe ivyo[emoji23][emoji23](sijui kama ntaweza lol)Hahahahaha
Ulisema nyuki wa mashineni hawana sumu
Pamoja mkuu kesho naweza kuwa busy balaa wacha tusogeze mida hii Uzi usonge mbeleNimekuja mkuu kwa dakka chache
Hahahahaha kuwa makiniYani anabomoa kabisaa[emoji2][emoji2]