Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2]kuanzia sasa natembea sambamba na Cole nisipomkuta humu siingii[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi itabidi Cole anashinda humu kwa sababu bila uwepo wako humu mambo hayawi sawia. Andjul pamoja na mkewe + KK watasumbuana na nani ukiwa haupo? Nyote mkiwemo humu uzi huwa unachangamka balaa...
 
Screenshot_2017-08-06-18-37-04.png
 
Kuanzia sasa kaa mbali na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mana mnanisababishia majanga mie mtoto wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](jibu tena chitaki nikupasue[emoji379][emoji379][emoji378][emoji378][emoji380][emoji380][emoji380][emoji375][emoji375])
Bwana mdogo hakutendei haki shemeji. Yeye ndiye anapaswa kujisiriba haya masilaha na kamwe siyo wewe. Ngoja nitamkalisha chini na kumpa miongozo zaidi....
 
Back
Top Bottom