Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1273.jpg
 
Nimemsubiri nimechoka Mkuu, leo niliweka tangazo humu kua natafuta mchepuko mpya, ila hakuna aliyejitokeza mpaka sasa hivi,

Kwavile jf hatuonani wala hatujuani ndio maana wanasita ila laiti kama wangekua wanajua niliyetoa hiyo ofa ni mtu wa aina gani sasa hivi foleni ingekua ndefu tayari ya kila mmoja kujaribu bahati yake 😀😀
Pole pole tu mkuu aliyewako atapatikana. Hawaoni hata hizi busara na falsafa zako komavu? Au wanatishwa na mwenye busara mwenzako tunayeambiwa kuwa aliishia kuwa na wake 700 na masuria 300? Ila wakati mwingine mabinti hawaeleweki. Wanashibokea bad boys na kuacha wanaume wenye stah halafu wakiumizwa huko wanaanza kulalama eti wanaume wote mambwa!!!
 
Back
Top Bottom