ongeza hiyoNa hiyo pia inakuhusu mkuu
Aongezee na hiyo kabisashika hiyo acha kulia weka like wew
Afadhali...Nimerudi kunyesha mvua ya likes wajameni!
sondikizwa na like[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
Mbonji
Mkuu upo?Wengine muwachoyo
Unajua hili neno?kwamba hii ni nyumba ya upendo tunakula like tu
karibu.....kamat hiyo kwanzaNdo narejea sasa
Haya tuletee hizo likesNdo narejea sasa
duuu si mchezoJina la kule kule hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawaona nawaonaaa mnavyonibania likes, post yangu huku nyuma ina like 4 tu wakati post za mbele zimejazwa hadi pomoni.
Oohhooo nijazeni bana.
endelea kufurahi na like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi hawa wa esikirou wanadaiwa ngapi ili tu convert kwenye bajaji? Mwaka wa neema huu. Huku like zimejaa, ukitoka nje Noah ya Makinikia, nyuma yake bajaji ya esikirou. Ahsante baba
Hongera sana, uko county gani? PG Au Annie Länder au?Naenda endaga mara moja moja (ila siyo wakati wa baridi). Nina kakibanda kangu huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ukweli maneno yako ni mwaka wa neema! Kula likesHivi hawa wa esikirou wanadaiwa ngapi ili tu convert kwenye bajaji? Mwaka wa neema huu. Huku like zimejaa, ukitoka nje Noah ya Makinikia, nyuma yake bajaji ya esikirou. Ahsante baba
Hahahaha![]()
Kilimo kwanza
Asante! Ngoja nitoe likes kidogo!Poapoa Goddess lala salama Cisy!