Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Huku ni upendo tuNimeamini huku hakuna itikadi!
Kuna mtu tuna itikadi tofauti lakini huku ameni like mara nyingi tu.
Huku ni upendo tuNimeamini huku hakuna itikadi!
Kuna mtu tuna itikadi tofauti lakini huku ameni like mara nyingi tu.
AMUN RATunasema pokea likes tuu
Naenda endaga mara moja moja (ila siyo wakati wa baridi). Nina kakibanda kangu huko [emoji23][emoji23][emoji23]Maryland uliondoka lini?
Akili zako unazijuaga mwenyeweHivi diva angekuwa mchepuko wa mengi.. TB Joshua awe mwakyembe tooohn tungeona mengi
Akili za bangi..
Gunia la bangi liuzwe jero
Gunia la big jiii liuzwe laki chadema kijani na yellow ccm wavae kaki..
Me sina akili
Kwa tulio oa wife atakubali umchezee kwa siku 21(kamoja kwa siku) ? Yaani apumzike kwenye hedhi tu.
Huyu nae apewe likes
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kumbe tulilishwa ujingaWuhuu. Huyo anafikiri binadamu wote ni sawa kama alivyoaminishwa na TANU [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ni kweli, kwa mtu yeyote aliye kulia au kuishi vijiji vya Kyela hao wadudu wanapatikana sana kwenye mstakaferi, kisamvu, kokoa, mananasi ya kienyeji, mipapai na hata kwenye miembe. Sikumbuki kama tumewahi kupata madhara zaidi ya kichocho tulicho kuwa tunakipata kwenye madimbwi.
Ai swea utarudi tena. Naweka dau dola 300 but again kwa vile we Mchaga may be is not a good idea. In short bakia tupate likes. Hata kama shemeji anakuita mwambia asubiri kidogo...Niki sema Gd9t sasa hivi mnasemaje?
Samahani sikuwa na maana hiyo. Ni ngumu katika hali ya kawaida kufanya hilo tendo kwa siku kumi mfululizo kwa uhitaji wa wote. Samahani kwa makwazo yaliyo tokea. Pata likeHivi ni kumchezea au kupeana haki ya ndoa. Mke sio object yako ya kuchezea kwa sababu kama ni feelings naye anapata na anafurahia. Wacha kudharau wanawake
Sawa sawa dogoBREAKING NEWS
Umepokea like kutoka dogo gbefa kuendelea kupata likes kama hizi tafadhali like piaaa
Hapana nasikia Rais ni jamali malinziSio kweli, mitihani ya form four inakuwaga mwezi wa tano kila mwaka
Kuwa Donald Trump ni diwani wa mabibo[emoji23] [emoji23] [emoji106]Hapana nasikia Rais ni jamali malinzi