Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Putin ni mkuu wa wilaya ya Kibiti..Kuwa Donald Trump ni diwani wa mabibo[emoji23] [emoji23] [emoji106]
Putin ni mkuu wa wilaya ya Kibiti..Kuwa Donald Trump ni diwani wa mabibo[emoji23] [emoji23] [emoji106]
HapanaLikes zimepanda bei zimekuwa adimu kama pesa ya Tz
[emoji95] [emoji106]Hapana
Kuwa ndio wa kutafuta mtaji mkuuMjini msingi kiuno
Fukufuku tulikuwa tunawang'atisha kwenye vichuchu eti tunadanganyana matiti yatakuewa makubwa. Utoto bwana...Wengi wanafahamu basi tu kujiona wa mjini wanaamua kuzusha kwa maslah yao binafsi
Kuna watu wanazusha eti fukufuku nae analeta magonjwa ya ngozi
Pole, ndo tusubirie weekend labda na sisi tutafidiaMkuu hayo masala manne huwa sifikishi ,natingwa na kazi
Hahaha huyo wa mbele katulia tuliii, pengine anapata burudani mkuuNa huyo wa mbele je? Mbona asingeachia hata kofi la kelbu? May be wanajuana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Putin ni mkuu wa wilaya ya Kibiti..
Granted....Samahani sikuwa na maana hiyo. Ni ngumu katika hali ya kawaida kufanya hilo tendo kwa siku kumi mfululizo kwa uhitaji wa wote. Samahani kwa makwazo yaliyo tokea. Pata like
Aisee mkuu Niko nakula huku bhanah
HiyoooNaomben like jaman
Pokea like kwa kuwa mkarimu na kutoa likes kwa wengineHiyooo