Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tena mimi kila nikikuona ni lazima tu nikutandike show ya kibabe ya likes tu [emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnakula tu likes.....
Tena mimi kila nikikuona ni lazima tu nikutandike show ya kibabe ya likes tu [emoji23][emoji23][emoji23]Naona mnakula tu likes.....
Huku ni likes tu. Siasa sijui dini peleka kwenye majukwaa husika. Tumekimbia nyodo na matusi ya huko ww unatuletea huku tena?Vamp mbona ume like hii post halafu ume i unlike??[emoji23] [emoji23]
I know! Aliniudhi kwenye hilo tu! Bado namwomba Rabuka Mola wangu TANZANIA iwe kama Norway THATS IT! I Do BELIEVEWuhuu. Huyo anafikiri binadamu wote ni sawa kama alivyoaminishwa na TANU [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa na hasira huyo naona. Si ajabu katendwa...Yeuwii
HahahahaHuku ni likes tu. Siasa sijui dini peleka kwenye majukwaa husika. Tumekimbia nyodo na matusi ya huko ww unatuletea huku tena?
Kama hujipendi vilee..Nimeomba mods wafute huu uzi mara moja
Kwa kweliAlikuwa na hasira huyo naona. Si ajabu katendwa...
No WAYNimeomba mods wafute huu uzi mara moja
He..!Mstari wa tarehe wa kimataifa uinaitwa Mstarihi(Meridiani kuu).
Ref: Maarifa ya jamii( drs la 5)- Shule ya msingi
Hii ndo inaitwa Ai lavu yuu antili dethi du as apati. Mtu akitoka hapo ni straight hospitali [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mkuuAiseee uzi umebust
Kamata likes...Hivi mko serious?
Tunasema pokea likes tuuNiki sema Gd9t sasa hivi mnasemaje?
HahahahaBREAKING NEWS
Umepokea like kutoka dogo gbefa kuendelea kupata likes kama hizi tafadhali like piaaa
Pata likesApewe like huyi
Mi mzima kabisa nagonga likes tuuZa kwangu poa kabisa, sijui huku