ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nimeamini huku hakuna itikadi!
Kuna mtu tuna itikadi tofauti lakini huku ameni like mara nyingi tu.
Kuna mtu tuna itikadi tofauti lakini huku ameni like mara nyingi tu.
Wanasiasa wanakula vinono mkuu...You didn't get the joke...Kumbe tuna mifumo tofauti? [emoji23] [emoji23]
Au na wewe mzee wa buku 7 nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12] [emoji12] dah sikuisoma vithuri mkuu
Lakin naona haina ubaya
Yaani hii dunia hujafa hujaumbukaRugemalira mzee wa kugawa vijisenti akiwa mahabusu
Taratibu Mimi napiga champuo hapobabe sauti yako nzuurii
Mkuu hayo masaa manne huwa sifikishi ,natingwa na kaziMbona chache sana mkuu? Hayo ni mavuno ya masaa 4 tu.
Michapo mizuriNatamani tuongeze speed y'all just like
Na huyo wa mbele je? Mbona asingeachia hata kofi la kelbu? May be wanajuana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna memba humu anatumia hiyo pic kama avator, siku ya kwanza kuiona ilibidi niizoom kwanza nijiridhishe kama macho hayanidanganyi.. yan kila nikiiona huwa nacheka sana hivi huyo jamaa wa nyuma alikua anawaza nini?
Kamata likes...Nothing serious here...Nini tena, mbona vichambo?
Well saidHivi ni kumchezea au kupeana haki ya ndoa. Mke sio object yako ya kuchezea kwa sababu kama ni feelings naye anapata na anafurahia. Wacha kudharau wanawake
HahahhahahMkuu huku tuko likes hatuko serious
Karibu sana[emoji106] [emoji95]
Wuhuu. Huyo anafikiri binadamu wote ni sawa kama alivyoaminishwa na TANU [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi niko kwenye AC 24/7 nyumbani, gari.. natumia intelligence Mola wangu alivyo nipa! No jasho ndugu yangu! What a wonderful world!
Maryland uliondoka lini?Kamata likes...Nothing serious here...
Acha ukimbie na mimi speed ni hiyo hiyo.Hata ukiniuliza T. Lisu ni rais wa nchi gani kwa sasa sikumbuki,ila mara ya mwisho nasikia alikuwa rais wa ComoroHuu Uzi unakimbia balaa..
YeuwiiAcha ukimbie na mimi speed ni hiyo hiyo.Hata ukiniuliza T. Lisu ni rais wa nchi gani kwa sasa sikumbuki,ila mara ya mwisho nasikia alikuwa rais wa Comoro
Pia acheni kudharau wanaumeWell said
Tuondolee siasa zako hapa. Umefuturu ndo umepata akili ya kuongelea siasa? Waliomtangulia unafikiri walikuwa hawajui maigizo? Kamata likes tu mengine yaache...Ambaye ana amini Magufuli anachokifanya ni maigizo hana nia ya kweli ya kuleta maendeleo kwa wananchi bali kwa familia yake agonge like hapa