Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
kabla hujalala gonga like hapaUsiku mwema ndugu zangu.
kabla hujalala gonga like hapaUsiku mwema ndugu zangu.
Mbona mapemaUsiku mwema ndugu zangu.
Safiiiiii,,,Za leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera, na wewe usiwe mchoyo
Ushindwe!Hivi mnaonaje tuanze ku unlike zile likes zetu zote kwenye uzi huu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makaburi yanafukuliwaNasikia Escrow imefufuka
Gr8 kwa kweliSafiiiiii,,,
Za kwako
Eeeh ni mwendo wa kuyashusha tuTupe malike
Imeandikwa kila mtu ale kwa jasho lake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushindwe!
Safi sana! Wako keko no dhamana! Inatisha!Makaburi yanafukuliwa
Nimechoka sana leo mkuuu.Mbona mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna memba humu anatumia hiyo pic kama avator, siku ya kwanza kuiona ilibidi niizoom kwanza nijiridhishe kama macho hayanidanganyi.. yan kila nikiiona huwa nacheka sana hivi huyo jamaa wa nyuma alikua anawaza nini?
Mkuu ni kweli, kwa mtu yeyote aliye kulia au kuishi vijiji vya Kyela hao wadudu wanapatikana sana kwenye mstakaferi, kisamvu, kokoa, mananasi ya kienyeji, mipapai na hata kwenye miembe. Sikumbuki kama tumewahi kupata madhara zaidi ya kichocho tulicho kuwa tunakipata kwenye madimbwi.View attachment 527173
Habari hizi sidhani Kama ni za Kweli. Na zinasambazwa na sisi sote bila tafiti Hebu Google Spalgis epius kupata habari za huyo mdudu. Kwa ufupi huyo mdudu si kidudu mtu kama ambavyo taarifa zake zimekuwa Viral kwenye social media, huyo mdudu ni Predator wa wadudu waharibifu wa mazao jamii ya Scale Insect ambao ni Kama Papaya and Cassava Mealbug. Hawa Mealbug kwa muonekano ni weupe na wanapukutisha vumbi jeupe kwenye Mipapai na Mihogo. Hivyo hiyo picha ya hao wadudu hapo walipo wapo katika hatua ya ukuaji kuelekea kuwa Vipepeo (Growth stage from Larva to Pupa). Hivyo wanataga mayai ndani ya mayai ya hao Mealbug na kuwashambulia Mealbug as a Natural Enermy ,kwa hiyo ni moja ya Biological control ya Mealbug, hivyo hawana madhara.
Nini tena, mbona vichambo?
Mmh naonaahGr8 kwa kweli
Mimi niko kwenye AC 24/7 nyumbani, gari.. natumia intelligence Mola wangu alivyo nipa! No jasho ndugu yangu! What a wonderful world!Imeandikwa kila mtu ale kwa jasho lake [emoji23] [emoji23e] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyona mie nimepita mkuu