Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f0415aef0e832dfd00199448e564c350.jpg

Nimeandaa futari, mukuje[emoji125] [emoji125]
 
Wengi wanafahamu basi tu kujiona wa mjini wanaamua kuzusha kwa maslah yao binafsi

Kuna watu wanazusha eti fukufuku nae analeta magonjwa ya ngozi
Hahahaaaa utotoni ndio walikuwa ng'ombe tuna wakusanya na kuwajengea wigo wa vumbi. Hapo unakuwa umevaa kaptula na shati ila hazikusaidii chochote maana kila kitu kinaning'ing'ia nje. Hebu pata like
 
Back
Top Bottom