Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Hazitoshi. Nipe nyingineChukua hiyo
Hazitoshi. Nipe nyingineChukua hiyo
UmepataNaomben like jaman
Loh!! Ahsante mkuu. Hivi like yako nimekupa?Hapana nasikia Rais ni jamali malinzi
AyaNaomben like jaman
Usikute na mi nikikupa like kuna mijitu inachukiaMimi nikipewa Raha wengine wanachukiaa...
Hapana xhin jin ping ni wa mkurangaPutin ni mkuu wa wilaya ya Kibiti..
We sikia tuMimi bado sijasikia
kula likehuu mwaka ni fuluh mkwanja kutoka kweny makinikia na kwenye escrrow
Kapicha niwekee nimuone huyo wa mbele[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha huyo wa mbele katulia tuliii, pengine anapata burudani mkuu
nipe mojaNawapa preshaa ati Roho nawarusha
Salama kabisa karibu tena jamvinibhandugu habari zenu
Huko nyuma kote mi nishamgonga likes, ndo kazi yangu humu [emoji4]Haya anashukuru sana.nae amekukomesha amakugonga like
Na ukijibu tena anakugonga tena
Bado kidogo tu vumiliaNimechoka
Tunatoa tu bure kabisa tena kiroho safbado mnatoa likes