Sodiamu inayoridhisha kwenye bamia ni kubwa sana,pia imejumuisha mucin,ambayo inatunza ngozi na kuituliza pia ngozi inayo washa ya eneo la matumbo.Bamia ina utendaji wa alkali.
Sodiamu inayoridhisha kwenye bamia ni kubwa sana,pia imejumuisha mucin,ambayo inatunza ngozi na kuituliza pia ngozi inayo washa ya eneo la matumbo.Bamia ina utendaji wa alkali.
Bamia mbichi kama 3 kata vipande loweka kwenye maji usiku na asubuhi ukanywa zaidi kawaida kwa mwezi 1 inaonyesha maajabu ya kupungua kwa kisukari na kubaki katika hali ya kawaida.
Kitunguu swaum ina historia kubwa kama dawa ya kutumia kwa mda wa miaka mingi.Ina faa kwa kusafisha damu na limfu mwilini.Inatanua sehemu maalum ya mishipa ya damu ambamo damu upita.
Tangawizi imejulikana na watu wengi kama dawa.Dawa nzuri kwa mfumo wa umengenyaji,inapunguza blood cholesterol,inasafisha ulimi na inapunguza homa.Pia nzuri kama dawa ya kutia nguvu,
kuondoa baridi,ugonjwa wa pumu,mafua, kikohozi na kutuliza kichefuchefu.Nzuri kwa mapafu,tumbo,bandama.Wakati wa kale,tangawizi mbichi ilitumika kama pumzi tamu,kwa matibabu ya mmengenyo
Kusaidia Mmengenyo tumboni:kijiko 1 cha tangawizi iliyokauka na unga nzuri ya karafuu.Ongeza asali kutengeneza uzito na chukua kijiko kimoja cha chai baada kila mlo.
Kusaidia Mmengenyo tumboni:kijiko 1 cha tangawizi iliyokauka na unga nzuri ya karafuu.Ongeza asali kutengeneza uzito na chukua kijiko kimoja cha chai baada kila mlo.
Baridi na mafua:Andaa chai na weka nusu kijiko unga wa tangawizi,karafuu na mdalasini Ongeza asali na kunywa.Juisi ya tangawizi inabidi ichukuliwe na asali mara 2-3 kila siku kwa mafua sugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.