Baridi na mafua:Andaa chai na weka nusu kijiko unga wa tangawizi,karafuu na mdalasini Ongeza asali na kunywa.Juisi ya tangawizi inabidi ichukuliwe na asali mara 2-3 kila siku kwa mafua sugu.
Baridi na mafua:Andaa chai na weka nusu kijiko unga wa tangawizi,karafuu na mdalasini Ongeza asali na kunywa.Juisi ya tangawizi inabidi ichukuliwe na asali mara 2-3 kila siku kwa mafua sugu.
na kilitumika kwa miaka mingi kwa kuponya baridi na maradhi mengi.Kitunguu kina kiasi kikubwa cha salfa ambapo ni nzuri hasa kwa ini.Usaidia dalili za kansa kwenye utumbo na kinywa
Kamua kwenye mwili uliochomwa na unapata unafuu
Kwa malaria ya homa ya manjano,vitunguu viliwe mara mbili kwa siku 2-3 na pilipili manga na maajabu halisi utayaona
Kinastaajabisha kwa kuondoa muwasho kwenye koo.
Vitunguu maji juisi yake hutumika kwa miaka katika ugonjwa wa kifua kinacho waka moto. Chua na kunywa kijiko 1 cha chakula x 2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.