Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1c8f7a602e8233b0cd60ea4be350a9ee.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la watu wavivu haliwezi kupata maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap
Ni kweli muhimu sana kufanya Kazi
Malamiko hayajengi kwa mfano mdogo tu yaani kubonyeza kitufe cha like watu wengine wanaona uvivu hivi mtu wa namna hii atapata maendeleo kweli
Hata vitabu vya Mungu vinasema asiyefanya Kazi na asile
Tufanye Kazi kila mtu kwa sehemu yake kwa maarifa yake kwa kujituma mafanikio tutayaona
Sio kulaumu serikali kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom