carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Prince Cole Williams
Yaani wewe kunisema koote kule[emoji2][emoji2][emoji2]subiri Cole aje uniume sikio vizuri
Ilo ndo jukumu langu shemeji...Nimekuta ushaaga shemeji. Na leo tena umeutendea haki uzi huu. Ila tu hakikisha kuwa mdogo wangu yuko taken care of properly both physically (kimwili) and psychologically. Lala salama shemeji na kesho uwe na siku yenye mibaraka tele!
wapita njia wanaenda kinyume na uzi wetu
wanaposti na kukimbia kusubiri 'likes
weka 'likes' unapo posti ila uwekewe...
wapita njia wanaenda kinyume na uzi wetu
wanaposti na kukimbia kusubiri 'likes
weka 'likes' unapo posti ila uwekewe...
Nzuri mwananchi, hujamboHabarini za asubuhi wananchi wa nchi hii
Nzuri mwananchiHabarini za asubuhi wananchi wa nchi hii