Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1497182759758.jpg
Marcus Rashford
Makame Rashidi
Akiwa na vijana wenzake mnamwona hapo lakini
Zenji moja hiyo
 
mzee wa liver
Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofauti tofauti ikiwemo moyo,

gauts,
kupooza
homa,
kikohozi,
tonsilatis,
kichefuchefu
hemorhoids

kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.
Numbisa hebu weka vema hapa. Kwamba hiyo pilipili kichaa imetibu hayo maradhi au imesababisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAAJABU YA PILIPILI KICHAA;
1.Kutibu kidonda-Hii inaweza kuwa ni ajabu kwa walio wengi lakini ni tiba liyothibitishwa na imekuwa ikitumika miaka kadhaa iliyopita katika nchi mbalimbali.Sio tu kuzuia kutokwa na damu katika kidonda cha kujikata kama ilivyozoea kutumiwa na wengi huko majumbani kwa miaka mingi bali pia huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda hicho hutumika pia kuondoa sumu mwilini
Nakupata...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom