Karibu sanaKwema hapa Kijiji cha Likes
Kumbuka kuna watanzania wengi wanashtakiwa wengine wameshahukumiwa kwa kesi za uonevu tu. Inaumiza sana. Hebu tugawane likes tuachane na hayo mamboNaongelea ubinadamu mkuu,bila kujalisha yeye ni nani na ana nini