Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani umeleta[emoji23][emoji23][emoji23]
2f5e97ffb50185c7fb26b22a045772d9.jpg

Huo hapo
 
UMUHIMU WA BODY SCRUB
Kinachotofautisha body scrub na visafisha ngozi vingine( cleansers) kama cleanser,bath gell na body wash ni kwamba scrub ina chembe chembe (texture) zinazoiwezesha kufanya kazi katika kuisugua ngozi ya mtumiaji.
 
Kazi zinazofanywa na body scrub ni kama ifuatavyo:-
Kuondoa seli zilizokufa, hizi hutengeneza kama layer flani ya uchafu juu ya ngozi.
Inasaidia kuiacha ngozi yako ikiwa ya kung'aa na muonekano mzuri.
Inaondoa mafuta na vipodozi vinavyoziba matundu ya ngozi yako.
Inapunguza na kuzuia kuota chunusi.
Inasaidia ngozi yako kuweza kufyonza vizuri mafuta/lotion na virutubisho vingine vya kupakwa.
 
Ngozi Kavu
Iwapo una ngozi kavu basi chagua scrub zenye mafuta yanayoweza kulainisha ngozi mfano ukiona moja ya viungo ni almond oil, butter au milk itakufaa, ikiwa na chocolate, brown sugar na coffee kama chembe chembe zilizoungwa basi ngozi yako kavu imefika.
 
Ngozi yenye mafuta mengi
Iwapo una ngozi yenye mafuta mengi, chagua scrub isiyo na mafuta. Viungo muhimu katika scrub ya mtu mwenye ngozi ya mafuta ni papaya, lemon(limao), Apricot na oatmeal kwa hiyo bidhaa yenye kati ya hivyo ni yako mwenye ngozi ya mafuta.
 
Ngozi inayopata mabadiliko ghafla( sensitive skin) na kavu sana.
Iwapo una ngozi ya namna hii ni vema ukachagua scrub yenye chembe chembe ndogo ndogo kama scub ya sukari, cha muhimu hakikisha unasafisha vizuri zinapodondoka usialike sisimizi. mtu mwenye ngozi hii asitumie chumvi kama scrub.
 
Back
Top Bottom